Page 1 of 7

SafiHub – Worker Application

Apply to join SafiHub
SafiHub helps experienced domestic workers in Nairobi connects employers who pay fair wages on time, every month. Working through SafiHub gives you:
- A monthly payslip documenting your work experience
- Statutory deductions, including SHA, PAYE, and any other applicable levies, are deducted from your gross pay and remitted to the relevant authorities by your employer.
- Ongoing access to new job opportunities through SafiHub platform. Should your current placement end for a valid reason or your current employer disengage, the Safihub platform provides a central repository designed to position you for your next role
Omba kujiunga na SafiHub
SafiHub inawasaidia wafanyakazi wa nyumbani wenye uzoefu Nairobi kupata waajiri wanaolipa mishahara ya haki, kila mwezi, kwa wakati. Kufanya kazi kupitia SafiHub kunakupa:
- Risiti ya mshahara kila mwezi inayoonyesha kazi yako.
- Makato ya kisheria, ikiwa ni pamoja na SHA, PAYE, na ushuru mwingine unaohusika, hukatwa kutoka kwa mshahara wako wa jumla na kuwasilishwa kwa mamlaka husika na mwajiri wako.
- Fursa za kazi mpya kupitia SafiHub kila wakati, ikiwa mwajiri wako anahama au kazi inaisha, tunakusaidia kupata kazi nyingine.

To apply, you must:

• Have at least 3 years of experience in domestic work

• Be able to provide at least 2 references (former employers) that we can call

• Have a valid Kenyan national ID

If you meet these requirements, this form takes about 5–10 minutes to complete.

We'll call you within one week.


Ili kuomba, lazima:
- Uwe na uzoefu wa angalau miaka 3 katika kazi za nyumbani
- Uweze kutoa angalau marejeleo 2 (waajiri wako wa zamani) tunaoweza kuwapigia simu
- Uwe na kitambulisho halali cha Kenya
Ikiwa unakidhi mahitaji haya, fomu hii itakuchukua dakika 5–10.
Tutakupigia simu ndani ya wiki moja.

Do you meet these requirements? Je, unakidhi mahitaji haya?

3+ years of domestic work experience, 2+ references we can call, valid Kenyan ID.

Miaka 3+ ya uzoefu wa kazi za nyumbani, marejeleo 2+ tunaoweza kuwapigia simu, kitambulisho halali cha Kenya.

Do you meet these requirements? Je, unakidhi mahitaji haya?
A
B